Baharia TV
Baharia TV
  • 4 869
  • 12 540 921

Відео

КОМЕНТАРІ

  • @severinimkini4116
    @severinimkini4116 16 хвилин тому

    Akina Yuda Eskarioti wako wengi. ( Tena huyo anajiita Mchungaji ) Tangu lini Mchungaji akatumikia mabwana wawili ! Ni msaliti tu, tena yule mbaya kuliko ilivyo tegemewa.

  • @salmajafari6838
    @salmajafari6838 19 хвилин тому

    UKIGOMBEA URAISI KURA YANGU UNAYO, I SWEAR GOD

  • @giftyjackson2461
    @giftyjackson2461 24 хвилини тому

    Yaani kazingua sana aiseh

  • @Ahdall
    @Ahdall 25 хвилин тому

    Rubbish

  • @Timothymlamba-pq3oi
    @Timothymlamba-pq3oi 37 хвилин тому

    Mpina awe mgombea uraisi ukawa

  • @barnaba3037
    @barnaba3037 Годину тому

    Sababu ya kuhama ni dhaifu sana, Sikutegemea kama atahama kwa sababu hiyo.Sasa ccm anakokimbilia ni hakuna rushwa?

  • @MalijasJRCharles-vl2rq
    @MalijasJRCharles-vl2rq 2 години тому

    Wamjadili ki2gan yaan ukwel ujadiliwe, kunawakati 2najiuliza mbona mungu alimchukua mapema anko.

  • @user-un9gg7qc4z
    @user-un9gg7qc4z 2 години тому

    Msigwa ananjaa.. amefuata kula

  • @katumabiyan5090
    @katumabiyan5090 2 години тому

    Asante

  • @user-pn1rd1fs9x
    @user-pn1rd1fs9x 2 години тому

    Una Akili sana

  • @richardhosea8827
    @richardhosea8827 2 години тому

    Kumbe mchungaji yupo sawa kakimbia wanaotaka kumdhuru safi yeye mtumishi anajuwa siri

  • @rashidhtibangayukatibangayuka
    @rashidhtibangayukatibangayuka 3 години тому

    Nakupongeza wakili

  • @abdulikilala5902
    @abdulikilala5902 3 години тому

    Wakili simamia ukweli kuwa mkweli tunakuelewa sana huna uongo kwenye jambo

  • @adrianoadriano-ys6bm
    @adrianoadriano-ys6bm 3 години тому

    Mwambukusi ukiwa shuleni ni mmoja ya mwanafunzi uliopata walimu bora kabisa. Wengine tumepita shule zenye walimu wa kukaririshwa mambo.

  • @abdulikilala5902
    @abdulikilala5902 3 години тому

    Wakili ww uko vizury sana unapenda kusema ukweli

  • @jesaminzo
    @jesaminzo 3 години тому

    Ni haki yake kabisa kikatiba, lakini kwenda ccm kweli?

  • @nyerere1259
    @nyerere1259 4 години тому

    THIS MAN NEVER DISAPPOINT

  • @frankjohn8706
    @frankjohn8706 4 години тому

    KAMA MWANAMKE NA MWANAUME FIFTY FIFTY KUNATOFAUTI GANI KATI YA MLINZI MWANAMKE NA MKINZI MWANAMME

  • @fidelismwakanyamale6787
    @fidelismwakanyamale6787 4 години тому

    Mimi binafusi kabla ya yote naomba unisamehe jinsi nilivyo kuwa nakuona unaongea kwenye mitandao nijuwa wewe ni mtu mbaya na niliaminishwa hivyo. Mungu anisamehe kwa hili na aendelee kukupa maisha marefu amina

  • @twahirshali8014
    @twahirshali8014 4 години тому

    Ni. Haki. Ake

  • @twahirshali8014
    @twahirshali8014 4 години тому

    Ukweli kabisa Kila Moja anahaki kwenda ata kapo

  • @erickmsigala138
    @erickmsigala138 6 годин тому

    Hakuna anaye lalamika kuhama kwake maneno yake ya kipumbavu ajifunze kwa waliyo hama wa maana kuliko yeye walilopoka upumbvu wake hata wewe ni walewale wanafiki tunakujua

  • @FadhiliMwaitete-ls2li
    @FadhiliMwaitete-ls2li 6 годин тому

    Msukima alisema haya ya msigwa alikuwa anapewa pesa na miccm je msukuma alidanganya Leo kipo wapi msigwa alikuwa mvurugaji mungu kamumbuwa Toka nenda zako ukaungane na mashetani wewe ni shetani mkubwa

  • @ngimbakuyi3250
    @ngimbakuyi3250 6 годин тому

    Brooo broo nimekielewa sana na naomba viongozi wa chadema kila atakayemuongelea msigwa aongee kama wewe maaana itawaweka safi ninyi na yeye atabaki na siasa zake za uongouongo

  • @user-bf9xj3nf1o
    @user-bf9xj3nf1o 6 годин тому

    Anataja madaraka hana lolote shenzi sana

  • @MusaOgwoko
    @MusaOgwoko 7 годин тому

    Maneno yake inapoza mwenyewe jaaa na unafiki Hama tu

  • @OmaryKilongola
    @OmaryKilongola 7 годин тому

    Nimekukubali mwambukusi big up

  • @HijaSaid-xd7fg
    @HijaSaid-xd7fg 7 годин тому

    Aaa kwa kauli hii hata wewe Huna muda

  • @djumakadege659
    @djumakadege659 10 годин тому

    Mheshimiwa wakili katika siku umeongea maneno mazito basi ni leo ! ongera Mheshimiwa wakili. Aksante sana kwa maelezo yako. MwenyeziMungu akubariki. Aamiin.

  • @tibbsminja2575
    @tibbsminja2575 10 годин тому

    Ajiulize NYALANDU ako wapi. Ndio atajua CCM ni wanunuzi tu unabakia boya.

  • @michaelkamaghe5046
    @michaelkamaghe5046 11 годин тому

    Uko vizuri kk

  • @user-lm3lt7xx6l
    @user-lm3lt7xx6l 11 годин тому

    Halafu siasa ya bara tafaut na znz kwamfano znz chama kile hukusikia watu kuhama chama mpaka lipumba alipochoka kutukika akakuwa kushirikiana na makufuli kuuwa chama.lakin wazanzibar wenyewe kusalit chama labda walikuwa 2

  • @komuhsengo9796
    @komuhsengo9796 11 годин тому

    Msigwa aachwe tu kwani kuna nini

  • @user-lm3lt7xx6l
    @user-lm3lt7xx6l 11 годин тому

    Ukiwa na ubinadamu utu ukawa na utu.ccm sio chama chamba ambacho zahiri shahiri wanaumiza watu na kuuwa znz kila chaguzi na hata kabla chaguzi wanaukiza watu .watu lazima washangae msigwa wajwanza alikuwa anawapa ccm ukweli

  • @KhamisiNinalwo
    @KhamisiNinalwo 11 годин тому

    Msigwa huna lolote

  • @PrinceHendry-hp8vv
    @PrinceHendry-hp8vv 11 годин тому

    Kwani nani anasema chadema ndo wasafi ingekua hivyo mbowe asinge kua anamuhonga mpz wake jois mukya kuwa mbunge viti maalumu kwan hakuna wanawake wengine mtu awe popote tudanganyeni mle kodi zetu basi maisha yaendelee

  • @LeahKazeni
    @LeahKazeni 11 годин тому

    So ulisema ukihamia CCM uchomewe nyumba na magari duuu na utachomewa tuu hata kama kwa nguvu

  • @user-qk9iz5lt8q
    @user-qk9iz5lt8q 11 годин тому

    Vema SANA MWABUKUSI UPO VIZURI HAPO HAITAKIWE KUWE NA VITA AU FITINA HIYO NDIO DEMOCRASIA

  • @ignatiomatimba3554
    @ignatiomatimba3554 11 годин тому

    Jamani eeh kujiunga na Chama Cha siasa ni sawa na kuhama Klabu za mpira Msigwa si msaliti

  • @MathewNathan-yb2bz
    @MathewNathan-yb2bz 11 годин тому

    Msigwa ana haki kikatiba kuhamia chama chochote ila maneno yake yanadhihirisha ni mhalifu wa kisiasa.

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 11 годин тому

    Mbona Lowasa Sumaye walikwenda Chadema muache akale ridhiki mantashalla Siasa mchezo mchafu

  • @MalamboSelijusi
    @MalamboSelijusi 11 годин тому

    Huo ndio ukweli kuhama sio uwadui nimamzi

  • @juliusmoivana9844
    @juliusmoivana9844 11 годин тому

    Mwabukusi uko visuri Sana kaka angu

  • @user-cx1xz2is5d
    @user-cx1xz2is5d 12 годин тому

    Msigwa

  • @RBMBAKARI-bv6wn
    @RBMBAKARI-bv6wn 12 годин тому

    Kumbe ndugu yangu mwabukusi unaongea pointing nzuri sana ushauri ndugu nawe usiwe unatumia jazba sana katika mambo ya nchi .wanyakyusa Kwa ujumla ni wasomi wazuri sana hongera ndugu yangu

  • @user-wm5cm2us3f
    @user-wm5cm2us3f 13 годин тому

    Mzee wangu busara Yako nikubwa sana

  • @user-jb8bo2qw6r
    @user-jb8bo2qw6r 13 годин тому

    Nakumbuka miaka kadhaa iliyopita Kiongozi mmoja wa ngazi za juu ktk CCM,aliwahi kusema kuwa wale wanaohamia CCM tokea vyama vya Upinzani wanaenda ccm "KUGANGA NJAA"! Naamu aliyasema haya akiwa na maana kuwa kwenda huko ni kupatiwa cheo.Ndio maana wengi waliohamia huko hupewa vyeo!Mfano akina Kitila Mkumbo,Makonda,Mashinji,Nassari nk. Hivyo ni tamaa tu,kwani si kweli kuwahuko ccm kuna demokwasia zaidi kuliko chadema. Ni mimi Ally Daudi Ngoyeji wa Itilima,Kishapu Shinyanga.

  • @brunomirambi8792
    @brunomirambi8792 13 годин тому

    SAWA WAKILI MSOMI ASANTE ILA LA KUKAA MADARAKAN NA UENYEKITI KWA MIAKA 30 HUJASEMA UMELIPITA

  • @user-gy5gu1mn4x
    @user-gy5gu1mn4x 13 годин тому

    ✌️🙏🙏🙏🙏

  • @TumtukuzeMbise
    @TumtukuzeMbise 13 годин тому

    Apana kuhama sawa ila mpinzani mwenye akili apaswi kwenda ccm maana ccm ndo maiti inayotarajiw na wanchi,kufa maana kwanza miaka yake inaruhu kufa, pia ccm wao ndio wanaogandamiza na kuuza nchi yetu,amia chama chochote tz siyo ccm